Nilikuwa nikiamini nitapata majibu ya maswali yaliyokuwa yananikabili au validation ya mambo mengi niliyokuwa nikiyafikiria , kwa wakati huo kweli nilipata nilichotarajia kwa asilimia kubwa , pia niliamini ukiwa among Great Thinkers wewe nawe unakuwa na chance kubwa ya kuwa kama wao kupitia mijadala na namna wanavyokujibu na unavyojibu.
Sadly miaka ya karibuni Great Thinker wengi hawaonekani tena , either wameshakwenda mbele za haki, wengine umri umeenda, wengine majukumu na wengine wameamua kusoma tu na kukaa kimya kutokana na kizazi cha sasa hao wanaitwa Gen Z kuwa na mijadala mingi isyokuwa na tija. Sasa kuliko kujibizana na watoto wadogo waliojaa mihemko ni nafuu kukaa kimya.
Anyway wakati ni ukuta uwezi kupigana nao..