Hahaha wew utakua umri sawa na mie sio kW kupatia hukoHahahha!
Stori za Zubagy Akilimia
Stori za Faki A.Faki
Siri iliyotesa maisha yangu
Mwisho wa uhai wangu
Raisi anampenda mke wangu
Machozi na damu.
Hahahahahaaaaa! ItakuwaHahaha wew utakua umri sawa na mie sio kW kupatia huko
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] ko ulikua kina joni kisomoChembambaaa,, hakuna wa kunikamata,, afu nilikua naongoza sana ufaulu wa Somo la kiingereza na kwenye matokeo sishuki top 5. Ila lasaba nilifaulu shule ambayo kila mtu hakutarajia wasiotarajiwa wakafaulu shule nzuuuriii... Nililia sana
Smart911
Kama umeona fiksi poaa ila habari ndo hiyo. Walosoma na mimi kote wanajua sinaga kawaida ya kukimbizana na kitabu nabahatikaga tu...acha fiksi!
Watukutu wa darasaBACK BENCHERS
Hahahahaa.. wewe ulishindikana. Khaaah. Mi sijawahi kuwa mtukutu shule na nilikua kipenzi cha walimu.Sana mimi utukutu ulikuwa too much huwezi amani nimeanda hadi namaliza shule A level sijawahi kuwahi nikaisikia nyimbo ya shule
..kutokukimbizana na kitabu ni sawa,Kama umeona fiksi poaa ila habari ndo hiyo. Walosoma na mimi kote wanajua sinaga kawaida ya kukimbizana na kitabu nabahatikaga tu
Basi nilibahatika. One in a million heehehee [emoji16]..kutokukimbizana na kitabu ni sawa,
.ila huwezi kushika namba toka primary mpaka o-level kwa 'kubahatika' tu!
...ila fresh.,chit-chat!
...barida!tuendelee na storyBasi nilibahatika. One in a million heehehee [emoji16]