Ulikua na sifa gani darasani kwako

Ulikua na sifa gani darasani kwako

Back bencher na bingwa wa kugezea....

Elimu yenyewe ya bongo ndio hii utafanya nn sasa mkuu....
 
Calm, Cool and Collected

miss those days were my biggest stress ilikuwa ni kutomaliza my home work....
 
Chembambaaa,, hakuna wa kunikamata,, afu nilikua naongoza sana ufaulu wa Somo la kiingereza na kwenye matokeo sishuki top 5. Ila lasaba nilifaulu shule ambayo kila mtu hakutarajia wasiotarajiwa wakafaulu shule nzuuuriii... Nililia sana

Smart911
 
[emoji23] [emoji23] ko ulikua kina joni kisomo
 
Mwalimu wangu wadarasa mwenyewe alikua hanifaamu hata kidogo.
 
Back
Top Bottom