Ulikua na sifa gani darasani kwako

Ulikua na sifa gani darasani kwako

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
enzi za kusoma kwako ulikua una sifa ipi kati ya hzo
57708177c909d3d447ced29b390e6be0.jpg
 
Aiseee haa haa nlikua mchelewaj
Maarufu na mtoro maarufu mpga
Kelele maarufu bingwa wa kuiba maparachichi
Na mahind choma+ya kukaangwa

yan mpaka
Namaliza shule ya msing
Nlikua nafahamika shule nzima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka sana jiz
 
Kcheche, kesi flani ilifika hadi kwa headmaster akaniuliza kati ya huyu na huyu nani mpenzi wako, nikashtukia huo mtego nikawakana wote wawili, muda wa kutoka nasikia watu wanapigana tena nje huko, nikadandia daladala huyoo nikayeya
 
Back bencher,,enzi zile basi tu,nime miss mengi,,nilikua class monitor[emoji23]
 
Aiseee haa haa nlikua mchelewaj
Maarufu na mtoro maarufu mpga
Kelele maarufu bingwa wa kuiba maparachichi
Na mahind choma+ya kukaangwa

yan mpaka
Namaliza shule ya msing
Nlikua nafahamika shule nzima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe kama si wa Mwakaleli basi ni wa Macjame
 
nilkua bonge la mchelewaj af nikfka xhle naanzia kpta toilet af ndo daraxan il kxud nikiulzwa nakua na chakujb
 
Nilikua muimbaji aiseeee
Mpka niikapewa jina LA vocalist
 
Back
Top Bottom