Ulikua na sifa gani darasani kwako

Ulikua na sifa gani darasani kwako

mtoro daraja la kwanza, naingia shule saa 2 saa 4 sipo mpaka wakawa wananiita ( mimi na kikundi changu wa asubuhi ) tuko kidato cha 4 iyo.

mwalimu mgeni akafunga mkanda kukomesha tabia iyo, tukamwambia tuko tayari kuacha shule kuliko kukaa masaa 8 shule.
 
[emoji23] shule ya zaman ilkua raha sana
 
mtoro daraja la kwanza, naingia shule saa 2 saa 4 sipo mpaka wakawa wananiita ( mimi na kikundi changu wa asubuhi ) tuko kidato cha 4 iyo.

mwalimu mgeni akafunga mkanda kukomesha tabia iyo, tukamwambia tuko tayari kuacha shule kuliko kukaa masaa 8 shule.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mlikua mnatutisha xna[emoji23] [emoji23]
Hahahahaa. Yani mimi sikuwahi kuwa na muonekano wa kuwa kipanga darasani. Kwanza napenda kucheza na kusoma magazeti ya udaku. Sionekani nikiwa busy na kitabu darasani. Ila ndo niliwashikia number kuanzia primary mpaka o level.
 
Daah asew,me nlikuwa mtu wa fujo sana..mpk majirani wa shule zote nilizosomea wanajua mziki wangu
 
Back
Top Bottom