Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Back bencher na pia Mchorajienzi za kusoma kwako ulikua una sifa ipi kati ya hzoView attachment 726961
hahahaha hatariAiseee haa haa nlikua mchelewaj
Maarufu na mtoro maarufu mpga
Kelele maarufu bingwa wa kuiba maparachichi
Na mahind choma+ya kukaangwa
yan mpaka
Namaliza shule ya msing
Nlikua nafahamika shule nzima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😀😀😀😀, inaonesha ulikua mbishi sanaNilikuwa sina nguvu kuliko classment wote nime pigana Mapambano 3 nime ndroo 1 hayo 2 nime pigwa KO
hayo macho yanaonesha tu
Hhahaha anasomea kijijiUkijifanya unasoma sana wanakuambia umetumwa na kijiji
Umenikumbusha rafiki alikuwa mvivu basi karibu na mitihani anapita juu kwa juu zima moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa nacheza tu na notes, hadi maths..zima moto..Ila siku ya paper pipo zinatamani zikae karibu namie, zinaanza usumbufu, wakati darasani zipo 24/7.
Sikuwahi kusoma kitu kinaitwa tuition..nikiona napoteza muda. Hahahaaha.
Mama yangu akanipa jina "akili za kusia" (Usiaji mbegu) maana akili za kupandikiza ni sawa na upandikizaji wa mmea, ukikumbwa na stresses unanyauka/ kukauka.
Hahhahaha!!Umenikumbusha rafiki alikuwa mvivu basi karibu na mitihani anapita juu kwa juu zima moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]