Weltmeisterschaftung
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 364
- 248
- Thread starter
-
- #21
mimi nipo vizuri kijana mdogo wewe hao auditors wako wote wanasubiri hapa........Ukija kwenye auditing, tax,etc huku usafi wako kaa nao huko huko, huku ni kichwa chako tu ndo kinakubeba. Au ulikua ni secretary wa ofisi nini?
kama wanavaa kama mimi, they are smart too..........that's all i can say.Nenda kanisani kwao uonee au kama kuna aliyeko mtaani mwanaume mfata dini sanaaa... mtizame uvaaji wake. Hope nawe msabato
Haya wasalimie uvinza, kigomamimi nipo vizuri kijana mdogo wewe hao auditors wako wote wanasubiri hapa........
karibu sana ule na dagaaaaaaHaya wasalimie uvinza, kigoma
Jamani yaani nimecheka kwa sauti peke yangu hapakwa uvaaji wako ndo wakakupeleka Tanga wakaona huko kutakufaa kuliko dar, walishindwa kuwapekeka hao wajanja wa dar kwamaa walijua maisha ya Tanga yatawashinda. PERIOD
Mi suruali za kitambaa kwa ujumla napenda nimuone mwanaume kavalia suti baas otherwise naona Cadet znapendeza sanaMimi jamani mpaka kesho sipendi mwanaume wa kunyoosha trouser akaweka upanga halafu tena iwe na size pana... Ila hongera lkn sidhani kama umepata cheo kwasababu ya usafi wako, siamini pia kua wenzako hawakua smart.....
Hahahah naupata huo mwonekanoSuruali pana ina panga mbele, shati kubwa ukitembea linajaa upepo mgongoni... Afu unechomekea mmmh mie hapana kwakweli
hahahahaha ndo ma smart guys acha ushambaSuruali pana ina panga mbele, shati kubwa ukitembea linajaa upepo mgongoni... Afu unechomekea mmmh mie hapana kwakweli
Kwa Hilo huna tofauti Na wakiume wanaovaa vimodo na kupitiliza.....!.......huyo ni mwanamke niliyetokea kumpenda tu kaka.
Alafu ukute mwanaume mwenye makalio makubwa avae trouser ya kitambaa- balaa kabisa tena iwe ya kushonesha!!! MmmhMi suruali za kitambaa kwa ujumla napenda nimuone mwanaume kavalia suti baas otherwise naona Cadet znapendeza sana
Unakuta mtu kashona kituko kumwangalia mara mbili huwezi
Hehehhehe afu unakuta yule anayevalia suruali juu ya tumbo, basi kijungu on fulik. Chini kapiga moka white teh tehAlafu ukute mwanaume mwenye makalio makubwa avae trouser ya kitambaa- balaa kabisa tena iwe ya kushonesha!!! Mmmh
Suruali pana ina panga mbele, shati kubwa ukitembea linajaa upepo mgongoni... Afu unechomekea mmmh mie hapana kwakweli
Hebu weka pichaila nilikuwa natoka bomba sana rafiki yangu...................naona ni wivu tu ulikuwa unawasumbua watoto wadogo wale.
Ha ha ha kama nakuona shati limejaa upepo mgongoni limekua kama puto afu umechomekea mpendwa tukikutana upo Kwenye hali hiyo nakukimbiaMpendwa, tafadhali bana. Tusitake kuharibiana mitoko. Hapo sio ofisini tu, mpaka club natia timu.
Mkuu, hili jina lako gumu hivi umelitoa wapi? na lina maana gani au the story behind?kama wanavaa kama mimi, they are smart too..........that's all i can say.