Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Kha.. watu wanamabomba ya tazama majumbani hatari sana pesa heshima..!Wakuu,
Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu
Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣
Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani
Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀
Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
Enzi hizo nipo form six tumetoka shule jumamosi kufanya test tukaenda nyumbani kwa rafiki yetu huyo..Wakuu,
Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu
Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣
Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani
Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀
Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
Sema mi mtu anaekula mtindi namuona katili sana..Wanakula ugali na mboga za majani +mtindi kwa furaha na amani.
dah ukupewa connection mzeeEnzi hizo nipo form six tumetoka shule jumamosi kufanya test tukaenda nyumbani kwa rafiki yetu huyo..
Dah..tumefika tu tunakuta maagizo kwa house girl wao eti mama yake ameacha laki 100,000... jamaa akachukue chakula cha paka da nilishtuka sana.. nikamwambia jamaa yaani paka wenu hawa wanabudget nzuri hivyo kuliko watanzania wengi sana kweli maisha hatufanani.... akacheka tu.
Paka wenyewe wawili 2 nikiwaangalia kama wa mitaani tu..wamejilaza kwenye makochi
Hiyo ni mwaka 2014..
Kifupi jamaa hata chuo akwenda hakusubili matokea akasepa zake state hadi leo yupo huko alisoma chuo hukohuko ameoa hukohuko kifupi maisha kwenu yakiwa kwenye hali nzuri kuna uwezekana mkubwa sana watoto pia wakaishi maisha mazuri tu hata wakikuwa.
Yule jamaa napiga nae story hadi leo namkumbusha wale paka anasema walikufa.yeye anawaita na majina kabisa.
🚩akwenda
Vishu atataka adress ya hyo nyumba sio mda 😂😂😂😂Enzi hizo nipo form six tumetoka shule jumamosi kufanya test tukaenda nyumbani kwa rafiki yetu huyo..
Dah..tumefika tu tunakuta maagizo kwa house girl wao eti mama yake ameacha laki 100,000... jamaa akachukue chakula cha paka da nilishtuka sana.. nikamwambia jamaa yaani paka wenu hawa wanabudget nzuri hivyo kuliko watanzania wengi sana kweli maisha hatufanani.... akacheka tu.
Paka wenyewe wawili 2 nikiwaangalia kama wa mitaani tu..wamejilaza kwenye makochi
Hiyo ni mwaka 2014..
Kifupi jamaa hata chuo akwenda hakusubili matokea akasepa zake state hadi leo yupo huko alisoma chuo hukohuko ameoa hukohuko kifupi maisha kwenu yakiwa kwenye hali nzuri kuna uwezekana mkubwa sana watoto pia wakaishi maisha mazuri tu hata wakikuwa.
Yule jamaa napiga nae story hadi leo namkumbusha wale paka anasema walikufa.yeye anawaita na majina kabisa.
Miaka ya 89's nyumbani tulikuaga na Tv, fridge, washing machine,choo Cha kukaa, nyumbani Kuna umeme, mashine ya kunyolewa, jiko la umeme , oven , pressure cooker N.KEnzi hizo nipo form six tumetoka shule jumamosi kufanya test tukaenda nyumbani kwa rafiki yetu huyo..
Dah..tumefika tu tunakuta maagizo kwa house girl wao eti mama yake ameacha laki 100,000... jamaa akachukue chakula cha paka da nilishtuka sana.. nikamwambia jamaa yaani paka wenu hawa wanabudget nzuri hivyo kuliko watanzania wengi sana kweli maisha hatufanani.... akacheka tu.
Paka wenyewe wawili 2 nikiwaangalia kama wa mitaani tu..wamejilaza kwenye makochi
Hiyo ni mwaka 2014..
Kifupi jamaa hata chuo akwenda hakusubili matokea akasepa zake state hadi leo yupo huko alisoma chuo hukohuko ameoa hukohuko kifupi maisha kwenu yakiwa kwenye hali nzuri kuna uwezekana mkubwa sana watoto pia wakaishi maisha mazuri tu hata wakikuwa.
Yule jamaa napiga nae story hadi leo namkumbusha wale paka anasema walikufa.yeye anawaita na majina kabisa.
Wee kumbe wa kishua...Miaka ya 89's nyumbani tulikuaga na Tv, fridge, washing machine,choo Cha kukaa, nyumbani Kuna umeme, mashine ya kunyolewa, jiko la umeme , oven , pressure cooker N.K
Kumiliki ivyo vitu enzi izo yaani mnaonekana matajir wakubwa Sanaa 😊
Maisha yamebadilika Sanaa Sanaa sikuizi hivyo vitu sio big deal tenaa...
Dah kwahy paka wamekufa na mamilioni 😭 dah nmelia sana mpaka mangi ameamua kunikopesha unga mana alikuwa anakataa hapa.Enzi hizo nipo form six tumetoka shule jumamosi kufanya test tukaenda nyumbani kwa rafiki yetu huyo..
Dah..tumefika tu tunakuta maagizo kwa house girl wao eti mama yake ameacha laki 100,000... jamaa akachukue chakula cha paka da nilishtuka sana.. nikamwambia jamaa yaani paka wenu hawa wanabudget nzuri hivyo kuliko watanzania wengi sana kweli maisha hatufanani.... akacheka tu.
Paka wenyewe wawili 2 nikiwaangalia kama wa mitaani tu..wamejilaza kwenye makochi
Hiyo ni mwaka 2014..
Kifupi jamaa hata chuo akwenda hakusubili matokea akasepa zake state hadi leo yupo huko alisoma chuo hukohuko ameoa hukohuko kifupi maisha kwenu yakiwa kwenye hali nzuri kuna uwezekana mkubwa sana watoto pia wakaishi maisha mazuri tu hata wakikuwa.
Yule jamaa napiga nae story hadi leo namkumbusha wale paka anasema walikufa.yeye anawaita na majina kabisa.
sio P DIDDY huyo???Nilienda kwa tajiri mmoja, baada ya kutulia sitting room, tukahitajika refreshments room unapanda lift kwenda chumba cha kutuliza akili 3rd floor 😀
Poor brain 😂😂😂Friji limejaa ma yogurt, masamaki, manyama...