Ulikuta Nini kwenye Geto la mshikaji wako ukabaki kujiuliza hiki kilifikaje hapa?

Kwa watu Kuna mambo asee.
 
Kuna dogo alikuwa anaumwa si akapelekwa kibaha pale akapewa dripu alikuwa na homa akalala hapo mida flani jioni tukaenda kumchek hosptal hatukumkuta basi tukasubir maybe yuko toilet wap harudi daah lisaa limepita tukawaza kachanganyikiwa labda wacha tumsake mpaka kagiza kanaingiza hatumuoni tukasema turud home maybe karud home daaah kufika home yole dogo aisee karud home na lile limrija na drip lake kalitundika juu ya kitanda bado linaingia aisee maswali kama yote tukamwambia ilikuaje akasema pale wodini wagonjwa wanakufa anawaona kwa macho wamekufa wawili karibu yake akaona anaefuata na yeye akaamua kuondoka ili israel akija asimkute daah huyu dogo wa mia 16 yani
 
Shuka la MSD
 
Nyingine nilikuta jamaa ana tranka ndani anafuga panya alafu anawanunulia na maziwa ya unga kabisa
Kama yuko jirani na shule za advance, Hao panya wanalipa sana (Wale weupe), Huenda ni mradi wake baada ya kupata soko la uhakika.

Na sio panya tu, Haddi chura ni biashara nzuri (ya msimu), Maana unakuta unatakiwa kufanya practical (mazoezi) na shule haina panya wala chura.
 
Wee faza mbona umekaa kimchongo mchongo hivi...

Yaani una sapport jamaa afuge na chura pia au sio..
Bila kusahau na mende je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…