Alishaukwaaa kwa mshangazi mmojaSasa unalalamika nini si umuache achepuke na watoto wazuri atarudi akiukwaa 😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishaukwaaa kwa mshangazi mmojaSasa unalalamika nini si umuache achepuke na watoto wazuri atarudi akiukwaa 😹😹😹
😹😹😹 daktareee hana bayaWachaaa wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiomana umejikatia tamaa, kwahiyo mshaanza dose.!!Alishaukwaaa kwa mshangazi mmoja
Mi sijaambukizwa na mtt nanyonyeshaa dada.....Ndiomana umejikatia tamaa, kwahiyo mshaanza dose.!!
Pole sana Mungu akutetee, jitahidi lishe ili mwili uwe sawa.
Huyo kaa naye kimachale ipo siku atakubaka makusudi ili wote muwe wagonjwa.!!Mi sijaambukizwa na mtt nanyonyeshaa dada.....