Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

Joasi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
766
Reaction score
674
Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza.??

Binafsi.

I was 22 nilipotengeneza 1m nilikuwa school chuo mwaka wa pili hapo nilikuwa karibu sana na walimu wangu ,niliona fursa baada ya kuona wanahitaji sana pesa ya mkopo.kwa kupitia Shangazi yangu kivuli niliweza kuwapatia mkopo kwa 30% also mtaji niliutoa through pesa ya ada.

Funguka.
 
Back
Top Bottom