Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

Ulianza chuo ukiwa na miaka 17 ,la sivyo to a hiyo 20's weka miaka inayoeleweka, yaani kama 29 , 25 au hutaki tujue umri wako, kumbuka muulizaji kataka utaje miaka na siyo range ya miaka.
No just anyambulishe aliwezaje kupata pesa ndefu then ni nini kilimkumba ndugu yetu.
Natambua vijana wanapanda ni wengi and they except something from us.
 
Mm Nilimpiga Mhindi mwaka huu huu niliweka Elfu 10 nakumbuka Ligi ndo zilikuwa zinaishia ishia hv nikazama Premierbet nikaweka over 2.5 game 7 zote za Italy na zote zilifikisha hayo magoli nikala 1M na upuuzi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Mpaka leo bado sijabahatisha tena hata ka Laki kila siku inachana mechi 1
Nadhali mhindi kesharudisha ml1 yake na faida juu, kamari hailipi mkuu acha.
 
Nyingi humu ni vizinga, Sasa hapo unajisifu umetengeneza, Bado sijaelewa utofauti hapo.
 
Kwa pamoja au baada ya kupiga hesabu ndiyo ugundue 1M ilitakiwa kua faida ila kuna matumizi yameingilia kati?
 
Zote hizo ni pombe kali mkuu ila ni local,hizo nyingine nilikua nazifata pale border ya tunduma,ng'ombe nayo ni pombekali nilikua naifata border ya malawi nazituma mikoani.nilipiga million4 faster,deal ilivyoanza kuchanganya serikali ilipiga marufuku kabla haijakataza viroba vyetu ilianza na viroba vinavyotoka nnje ya Tanzania.










Kati ya ulivyovitaja hapo nimeelewa ng'ombe tu, ingawaje sijajua ng'ombe ulimtumia vipi kupata 4M..
Tusaidiane mkuu maarifa gani ulitumia hapa ili nasi tutengeneze milioni za kwetu!
 
Nilishika nikiwa na 23 duh sema azikunichanganya nilikuwa nimeshazoea kuzishika shika za watu
 
Mm nakumbuka kipindi hicho nina 17 yrs tu ndio nimetoka kumaliza form 4tu nikaingia kitaa mara editor wa video na nafanya video's shooting vibaya sana msimu wa kipaimara ukaja bhana duh nilizipiga vibaya kuja kucheck account yangu sikuamini na macho yangu pochi nene 2.3mil..matokeo yalivyotoka nikaacha kazi na kuendelea na shule hadi chuo...

Sometimes hizi elimu zinatudanganya sana ningeendeleza game lile nowadays ningekuwaga mbali sana..
 
Mm nakumbuka kipindi hicho nina 17 yrs tu ndio nimetoka kumaliza form 4tu nikaingia kitaa mara editor wa video na nafanya video's shooting vibaya sana msimu wa kipaimara ukaja bhana duh nilizipiga vibaya kuja kucheck account yangu sikuamini na macho yangu pochi nene 2.3mil..matokeo yalivyotoka nikaacha kazi na kuendelea na shule hadi chuo...

Sometimes hizi elimu zinatudanganya sana ningeendeleza game lile nowadays ningekuwaga mbali sana..
Shule.wengi zimetupotezea muda mkuu, anyway ndo ishakuwa tena. No way
 
...Nilikua na 17, nakumbuka kipindi icho dingi ananiagiza bank kumchukulia pesa through ATM en the good thing alikua hataki habari za risiti, Nilikua namuibia sana hivi vi 4mil havikunisumbua kabisa, though saiz namiliki biashara zangu per day naingiza almost 3000k Calculate mwenyewe kwa mwezi naingiza sh ngapi!
3000k per day=3,000,000 ndo ulivo maanisha??
 
Nilikua na miaka 23 nilipata tenda ya kupeleka maharage shule fulani nakumbuka nilipeleka kilo 900 kwa bei ya sh 1800 asee hatari sana yaan!!
 
Anyway nikitulia nitajaribu kutoa ushuhuda japo kidogo
Nme bahatika kusoma nikiwa bado mdogo pia nliruka darasa la sita primary na high school pia nlisoma mwaka mmoja tu kwa walio soma Uganda wanafamu hio kitu, sabbu nlisoma nje ikaniwia vigumu ku apply mkopo nika join UCC nikachukua diploma ya IT basi ile nme maliza tu nikapigiwa simu na site manager mmoja wa kampun flan mgodini uko kanda ya ziwa chanzo cha kufahamiana ni nlifanya field kwao wkt wa masomo yangu ..,.. naendlea.....
 
Back
Top Bottom