mtafutaji2016
Senior Member
- Jun 19, 2016
- 105
- 46
EndeleaNme bahatika kusoma nikiwa bado mdogo pia nliruka darasa la sita primary na high school pia nlisoma mwaka mmoja tu kwa walio soma Uganda wanafamu hio kitu, sabbu nlisoma nje ikaniwia vigumu ku apply mkopo nika join UCC nikachukua diploma ya IT basi ile nme maliza tu nikapigiwa simu na site manager mmoja wa kampun flan mgodini uko kanda ya ziwa chanzo cha kufahamiana ni nlifanya field kwao wkt wa masomo yangu ..,.. naendlea.....