Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ATM inauotoa zaidi ya 1M hii chai haina sukari...Nilikua na 17, nakumbuka kipindi icho dingi ananiagiza bank kumchukulia pesa through ATM en the good thing alikua hataki habari za risiti, Nilikua namuibia sana hivi vi 4mil havikunisumbua kabisa, though saiz namiliki biashara zangu per day naingiza almost 3000k Calculate mwenyewe kwa mwezi naingiza sh ngapi!
Unamaanisha 3000k per day??...Nilikua na 17, nakumbuka kipindi icho dingi ananiagiza bank kumchukulia pesa through ATM en the good thing alikua hataki habari za risiti, Nilikua namuibia sana hivi vi 4mil havikunisumbua kabisa, though saiz namiliki biashara zangu per day naingiza almost 3000k Calculate mwenyewe kwa mwezi naingiza sh ngapi!
Hakuna au hujaiona? Unaweza kutoka hata 10m KWA SIKU(unatoa kwa awamu). Unaongea na bank yako wanakuongezea limitHakuna ATM inauotoa zaidi ya 1M hii chai haina sukari
kumbe mpk ufanye process ya kuwasiliana na Bank(kwa maana bila mawasiliano) HAKUNA ATM INAYOTOA ZAIDI YA M1.halaf dogo kashasema alikuwa anamuibia baba yke that means kadi si yake,labda aseme alikuwa anaiba visenti laki mbili tatu kila anapotumwa ATM mpk alivyokuja kujumlisha vikajaa na hpo sidhan km alikuwa anatumwa na kila siku.Hakuna au hujaiona? Unaweza kutoka hata 10m KWA SIKU(unatoa kwa awamu). Unaongea na bank yako wanakuongezea limit
Inawezekana Baba yake alishaongeza kiwango kulingana na hadhi yake. Standard kibongo ni 300,000/- Ila wengi wanaongeza kiwango. Ila inabidi utoe Kwa awamu sio mkupuo.kumbe mpk ufanye process ya kuwasiliana na Bank(kwa maana bila mawasiliano) HAKUNA ATM INAYOTOA ZAIDI YA M1.halaf dogo kashasema alikuwa anamuibia baba yke that means kadi si yake,labda aseme alikuwa anaiba visenti laki mbili tatu kila anapotumwa ATM mpk alivyokuja kujumlisha vikajaa na hpo sidhan km alikuwa anatumwa na kila siku.
Ninavyo faham ukiwa na kadi ya gold unaweza toa mpaka milion tatu ATM kwa siku moja na ukiwa na kadi ya platinum unaweza toa zaidi ya milioni tatu.kumbe mpk ufanye process ya kuwasiliana na Bank(kwa maana bila mawasiliano) HAKUNA ATM INAYOTOA ZAIDI YA M1.halaf dogo kashasema alikuwa anamuibia baba yke that means kadi si yake,labda aseme alikuwa anaiba visenti laki mbili tatu kila anapotumwa ATM mpk alivyokuja kujumlisha vikajaa na hpo sidhan km alikuwa anatumwa na kila siku.
2013 nkiwa na 22yrs nlipiga kama dola 600 hivi 1M+ Kupitia Google adsense (blogging) Mpka sasa nmeamaliza na degree yangu ya civil engineering cjawahi gusa cheti toka nmechukuaa chuo mpo na computer yangu siku hizi sikosi dola 5,000+/month...(karibuni online)
Afu we ni mtaalam wa IT!ttzo langu mvivu sana kuandika pia nme tingwa na kazi mbaya zaidi kuhadithia kwa maandishi hua napuyanga sana inanichukua nusu saa kundiks paragraph tatu typing erros kibao na tense za ajabu ajabu
Dah kwel ulikua fala mkuuNakumbuka, ilikuwa nina 24 nimemaliza chuo.. nakaotea project moja, safari ya kwanza tu.. nikapiga 10M... Mimi na Bosi wangu.. yeye akajichukulia 50M
NIKAKIMBILIA KUNUNUA NISSAN PRIMERA, nikaifunga mziki mkubwa... Nlikuwa fala kweli, badala ningenunua kiwanja.....
Ufala nilishaufyekelea mbali...! Now nipo na normal life mkuu....!Dah kwel ulikua fala mkuu
Vip saiz ufala ushaisha kichwan?
Toa mrejesho ilikuaj baada ya kufunga mziki mkubwa
Mkuu nipe moja mbili namna ya kuzitengeneza hizi pesa2013 nkiwa na 22yrs nlipiga kama dola 600 hivi 1M+ Kupitia Google adsense (blogging) Mpka sasa nmeamaliza na degree yangu ya civil engineering cjawahi gusa cheti toka nmechukuaa chuo mpo na computer yangu siku hizi sikosi dola 5,000+/month...(karibuni online)
Mbona kawaida saana boss,mm mara ya mwsho juz kat nmempa mwalmu 300000 atarudsha 360000mwsho wa mwwz huu faids 60000.Uongo wa kiwango cha lami yaani umkopeshe mwalimu wa kibongo halafu umdai akulipe
jamaa umegoma kujibu PM daah2013 nkiwa na 22yrs nlipiga kama dola 600 hivi 1M+ Kupitia Google adsense (blogging) Mpka sasa nmeamaliza na degree yangu ya civil engineering cjawahi gusa cheti toka nmechukuaa chuo mpo na computer yangu siku hizi sikosi dola 5,000+/month...(karibuni online)