Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

2013 nkiwa na 22yrs nlipiga kama dola 600 hivi 1M+ Kupitia Google adsense (blogging) Mpka sasa nmeamaliza na degree yangu ya civil engineering cjawahi gusa cheti toka nmechukuaa chuo mpo na computer yangu siku hizi sikosi dola 5,000+/month...(karibuni online)

Utakaribishwa kwny FOREX soon,hahah
 
MI nilikuwa nimemaliza kidato change nne nilitengeneza million moja na nusu toka laki moja na nusu
 
Nilikuwa na miaka 28, nilipata M1 kamili kwa Mara ya Kwanza, ilikuwa zawadi but.
Hope nitazishika nyingine zaidi.
 
Mie nina hamu ya kushika 100M kwa sasa, mwenye nayo tuchekiane maana hio 1M nilianza kushika nikiwa na 16 years kipindi naeleka benki kulipa Ada
 
Back
Top Bottom