Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

2018 nikiwa na miaka 23 nilishika 1M kwa mara ya kwanza baada ya kuuza dagaa nyassa...siku hiyo sikulala na wala sikula kwa furaha..2020 ndo nimeanza kuzipata zaidi ya ile Alhamdulillah
 
Yaani mimi sijawahi kushika milion kesh mkononi lakini vi lakilaki kibao nina bonge la jumba huwezi amini kama sijawahi kushika milioni 1
Hata pesa ya ada hukuwahi.pewa na wazee wako mkononi mkuu?
 
Back
Top Bottom