feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 7,683 Reaction score 15,128 Nov 9, 2020 #121 2018 nikiwa na miaka 23 nilishika 1M kwa mara ya kwanza baada ya kuuza dagaa nyassa...siku hiyo sikulala na wala sikula kwa furaha..2020 ndo nimeanza kuzipata zaidi ya ile Alhamdulillah
2018 nikiwa na miaka 23 nilishika 1M kwa mara ya kwanza baada ya kuuza dagaa nyassa...siku hiyo sikulala na wala sikula kwa furaha..2020 ndo nimeanza kuzipata zaidi ya ile Alhamdulillah
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Nov 9, 2020 #122 syllae said: Yashapita ayo ila ku share na wana sio mbaya tupate kujifunza Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bado moyo unaniuma,nitashare nikirecover [emoji3]
syllae said: Yashapita ayo ila ku share na wana sio mbaya tupate kujifunza Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bado moyo unaniuma,nitashare nikirecover [emoji3]
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,616 Reaction score 1,282 Jan 23, 2025 #123 Asee
Nkundwe Sr JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 6,289 Reaction score 9,748 Jan 23, 2025 #124 21
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 4,062 Reaction score 5,741 Jan 26, 2025 #127 Chuo mwaka wa pili nikiwa na miaka 21
K kyanyangwe JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 1,275 Reaction score 3,316 Jan 26, 2025 #128 TANSIS said: Yaani mimi sijawahi kushika milion kesh mkononi lakini vi lakilaki kibao nina bonge la jumba huwezi amini kama sijawahi kushika milioni 1 Click to expand... Hata pesa ya ada hukuwahi.pewa na wazee wako mkononi mkuu?
TANSIS said: Yaani mimi sijawahi kushika milion kesh mkononi lakini vi lakilaki kibao nina bonge la jumba huwezi amini kama sijawahi kushika milioni 1 Click to expand... Hata pesa ya ada hukuwahi.pewa na wazee wako mkononi mkuu?