Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Hakuna binadamu mwenye rangi ya maji ya kunde.

Rangi ni mbili tu, aidha awe mweupe ama mweusi.
 
Sijampata ila mpaka ntampata...

Manzi flani hivi Slay Queen,Muonekano wake kila mtu ana mjudge ni (maraya keri) ila deep inside she is a material na ndio wale tunawaita 1 in a million.

Msafi,hard worker,vikuku vingi,hereni kama mtoto wa kihindi ila mkiingia Ndani Ana kubless na Maombi, anakuombea, anaishi kama Jirani ake YESU.

Manzi Flani hiviii mtundu mtundu,sio mshamba,mjafanja,mitego mingiiiii ila ANAJITAMBUA yaniiiiii... Sijui ntaambiwa nimuumbe mwenyewe...

na ntampata... CURRENTLY tunaenda enda ivyo ivyo ngojea mvua inyeshe tuone wapi panavuja
 
24hrs sex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…