Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Kwani ndoto yako ulitaka uwe na mke au mume wa aina gani?

Nashauri hivi, tembelea ndoto yako, usiforce mambo kwa sababu fulani.

Maisha ni wewe, ukiumia ni wewe, ukifurahi ni wewe! Usijali maneno yetu wanaadamu, siye hatuachi kuongea liwe Zuri au baya......Siye tutaongea tu haikwepeki.

Je,hapo ulipo unaamani? Au uliingia tu uonekane umeolewa, umeoa? Ulifuata pesa? Ulifuata kazi yake ili Msaidiane kiuchumi? Pesa zipo ila huna furaha ya mapenz? Fanya maamuzi sasa au subiri kifo furaha ukapatie mbinguni.
Mwenyezi Mungu akaponye kila roho siku ya Leo.

NB: Kumbuka mchozi ni dawa pia, lia pale inapobidi kupunguza mzigo wa maumivu moyoni.

NAWAPENDA SANA NDUGU MEMBERS!😍😘
Hii mada ilitakiwa kuanzishwa na mtu ambaye ana uzoefu wa ndoa iliyodumu si chini ya miaka 10. Awe bado katika ndoa ili Vijana wajifunze kutoka kwake. Kwa ambao ndoa zilitushinda nadhani aidha tunatafuta wengine wawe kama sie au tuna ji console tu. Ni mawazo yangu tu
 
Sawa mkuu,wazo zuri sana🙏🏽
 
Back
Top Bottom