Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Siyo kila unachokihitaji utapata.
Unaweza mpata mwenye vigezo vyote. Lakink huyo ni wa nje. Wa ndani sasa,baada ya miaka kama 20 akakugeuka.

Binafsi naona mzuri wa sura,poa tu. Kwa sababu tabia unaweza jaribu kumbadilisha,ikishindikana unabaki unajivunia tu uzuri wake basi.
Do you think kama ana tabia ya umalaya utaweza kumbadilisha?????
 
To be honest sijawahi kuwa na ndoto ya kuwa na mke wa aina fulani, kwakweli nasubiria tu yeyote atakaejitokeza nikamkubali naoa, isipokuwa navutiwa na mwanamke mrefu, maji ya kunde, asiejiskia, muelewa na awe na mvuto ki pisi kali pisi kali, ukitaka kujua zaidi kwa nini maji ya kunde njoo inbox mengine ni siri ya ndani hatumwagi mchele kwenye kuku wengi, kwa ufupi tangu nakuwa bachela demu aliyekuwa navutiwa nae ni Tony braxton, ile ndio pisi kali yangu ya ndotoni, nikilala namuota, nikinywa maji namuona ndani ya glass.
Sawa Sawa,hongera....hivo vigezo ulivyoviweka ndiyo ndoto zako Mkuu...sisi wafupi Tukae kwa kutulia
 
Sawa Sawa,hongera....hivo vigezo ulivyoviweka ndiyo ndoto zako Mkuu...sisi wafupi Tukae kwa kutulia
Huna ufupi wowote labda tu ulitamani kuwa mrefu zaidi ya ulionao, jikubali tu uko vizuri me mwenyewe nakutolea udenda sema tu labda sijaandikiwa kuwa nawe.
 
Back
Top Bottom