Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Kikubwa awe na uchi tofauti na wangu... Mengine tutayajenga....
 
Mapenzi yanakuja automatically so huwezi jua nani ni nani
 
Nilipanga niwe na anaejiheshimu, anavaa stara havai suruali wala kimini, awe mrembo sura yake natural siyo anaejipaka makeup na wanja kama shangingi, awe na aibu na siyo mropokaji, awe na adabu na siyo mjeuri.
Awe na malengo mpenda maendeleo na mshauri mzuri pia na mwisho awe pia ananipenda kweli na siyo nimlazimishe hisia zake ziwe kwangu.

Of course bado sijapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…