BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Nasikilizia hapa nione ni pisi gani itasema haifurahii mahusiano iliyonayo, niizamie pm nikalipuke nayo. Fungukeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu no sahihi kwangu na kwa miaka 15 ya ndoa sijawahi jutia japo hana elimu dunia aliishia la 3 baada ya mzee wake kufariki na mambo kwenda kombo kwenye familia huku mimi nina MSc. Hajui kusoma wala kuandika vizuri ila ni mama bora kwa watoto wetu 5(Me 3 na ke 2) na mke bora na jinsi alivyo huwezi jua hilo.Pendo lenu lidumu daima
Ahahaha unazingua mkuuJitahidi bas unapoingia kwenye kumchunguza mtu usitumie kigezo cha mahusiano.Asante kwa kunijua mkuu😘
Hakika,hongera sanaHuyu no sahihi kwangu na kwa miaka 15 ya ndoa sijawahi jutia japo hana elimu dunia aliishia la 3 baada ya mzee wake kufariki na mambo kwenda kombo kwenye familia huku mimi nina MSc. Hajui kusoma wala kuandika vizuri ila ni mama bora kwa watoto wetu 5(Me 3 na ke 2) na mke bora na jinsi alivyo huwezi jua hilo.
Nikifikiria kwa jinsi nilivyokuwa mbabe, mgumu na mjuaji. Wale Akina Binti Tilya, Binti Segumba, Yule Binti Masira, Akina Win, Jack, Loveness, Mickness na hata yule Mariam mtoto wa kiruguru nisingewaweza. Sijutii kabisa wala sikumbukagi hao wale yule binti Mfinanga waliokuwaga wapenzi wangu na niliotakaga kuwaoa. She is very humble na kuna muda najishtukia na kubadilika kwa jinsi alivyo. Mungu atusaidie kwa kweli na nimejifunza Mungu anakupa kile unachostahili ila sio kile unachotaka.
HahahahahaKama anaelimu anizidi,kiuchumi pia anizidi.....nataka mume mwenye sauti juu yangu lakini mtunza familia....siyo kunipanga tu afu mchoyo....hapana
Uko km mimi ila asiwe......Nasikilizia hapa nione ni pisi gani itasema haifurahii mahusiano iliyonayo, niizamie pm nikalipuke nayo. Fungukeni
Mapenzi ni hisia, na sio uamuzi. Ukishaanza kujiwekea ndoto ya kuwa na mtu wa aina fulani, maana yake hapo umeondoa dhana nzima ya mapenzi kuwa ni hisia na umeyafanya kuwa uamuzi.Kwani ndoto yako ulitaka uwe na mke au mume wa aina gani?
Nashauri hivi,tembelea ndoto yako,usiforce mambo kwa sababu fulani.
Maisha ni wewe,ukiumia ni wewe,ukifurahi ni wewe! Usijali maneno yetu wanaadamu,siye hatuachi kuongea liwe Zuri au baya......Siye tutaongea tu haikwepeki.
Je,hapo ulipo unaamani? Au uliingia tu uonekane umeolewa,umeoa? Ulifuata pesa? Ulifuata kazi yake ili Msaidiane kiuchumi? Pesa zipo ila huna furaha ya mapenz? Fanya maamuzi sasa au subiri kifo furaha ukapatie mbinguni.
Mwenyezi Mungu akaponye kila roho siku ya Leo.
NB:Kumbuka mchozi ni dawa pia,lia pale inapobidi kupunguza mzigo wa maumivu moyoni.
NAWAPENDA SANA NDUGU MEMBERS!😍😘
mapenzi tu kwaujumla sometimes yanachosha,huwa sipendi kuvurugwa na mapenzi,bora akili yangu ivurugwe na utafutajiMahusiano ya sasa?
hahahaa anakujua kuliko hata wewe unavyojijuaJitahidi bas unapoingia kwenye kumchunguza mtu usitumie kigezo cha mahusiano.Asante kwa kunijua mkuu[emoji8]
Na penzi lend lidumu mileleHuyu no sahihi kwangu na kwa miaka 15 ya ndoa sijawahi jutia japo hana elimu dunia aliishia la 3 baada ya mzee wake kufariki na mambo kwenda kombo kwenye familia huku mimi nina MSc. Hajui kusoma wala kuandika vizuri ila ni mama bora kwa watoto wetu 5(Me 3 na ke 2) na mke bora na jinsi alivyo huwezi jua hilo.
Nikifikiria kwa jinsi nilivyokuwa mbabe, mgumu na mjuaji. Wale Akina Binti Tilya, Binti Segumba, Yule Binti Masira, Akina Win, Jack, Loveness, Mickness na hata yule Mariam mtoto wa kiruguru nisingewaweza. Sijutii kabisa wala sikumbukagi hao wale yule binti Mfinanga waliokuwaga wapenzi wangu na niliotakaga kuwaoa. She is very humble na kuna muda najishtukia na kubadilika kwa jinsi alivyo. Mungu atusaidie kwa kweli na nimejifunza Mungu anakupa kile unachostahili ila sio kile unachotaka.
hapo kwenye NB ngoja nami nikazie zaidiMapenzi ni hisia, na sio uamuzi. Ukishaanza kujiwekea ndoto ya kuwa na mtu wa aina fulani, maana yake hapo umeondoa dhana nzima ya mapenzi kuwa ni hisia na umeyafanya kuwa uamuzi.
Let love lead, whoever comes as long as hisia zako zimevutiwq nae, mkubali.
NB: "Nyege na hisia ni vitu viwili tofauti"
Mwanaume, anahulika ya kutoridhika sasa unalalamika kwamba imekosea umeoa mwanamke hana wowo lakini ungeanza kuoa mwanamke mwenye wowo alafu baada ya kuishi naye kwa kipindi cha mda flani ,bado ungeanza kutamani ambaye hana wowo .Chamsingi be content with what you have ,that's crucial component of happiness and psychological well being.Nilikosea kuoa mke Hana wowowo ,basi naona kama wananichanganya ,naweza wahonga hata million walahi,mkia ndio Kila kitu jamani
Kama uyu i mean apo ctowah chepuka. Note cjaoa so kama upo humu of this type bas natangaza ndoa chapMwenye tako flan iv raound so kubwa saana mana sana inaboa