Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Ndoto yangu kubwa ilikuwa kumpata mwanaume nitakayependana nae sana, yani ile tupendaneeee dunia iwe yetu wawili. Anione mimi, nimuone yeye tu, tupendane hadi uzeeni tutenganishwe na kifo tukiwa bado tunapendana.

Alhamdulillah, nimempata na hakika cha kututenganisha ni kifo tu.
Nakupenda kaka mzuri.
❤️❤️❤️😘
 
Mapenzi ni hisia, na sio uamuzi. Ukishaanza kujiwekea ndoto ya kuwa na mtu wa aina fulani, maana yake hapo umeondoa dhana nzima ya mapenzi kuwa ni hisia na umeyafanya kuwa uamuzi.

Let love lead, whoever comes as long as hisia zako zimevutiwq nae, mkubali.

NB: "Nyege na hisia ni vitu viwili tofauti"
Asante Mkuu
 
Mwanzo utamuona utasema huyu ndiye..!!!
Ingia naye kwenye husiano ndo utajua kumbe nilipuyanga kubeba hii ng’ombe..!!

Mi napenda mwanaume aliyenizidi kila kitu mpk dhambi, ila niliyenaye funga kazi..!!
Imagine mwanaume kanizidi mpk kudeka 🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
🤣🤣🤣wee,sema kweli? Anadeka mkaka?😂😂
 
Back
Top Bottom