Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

ila wewe kuna vitu tunafanana kitabia,bahati mbaya mimi bado ndoto yangu haijatimia
 
Unakuta ana kila kitu ila ni bwawa, yaani she's the best wife, mama ila mkienda peponi unakutana na bwawa...hilo ni lako, libebe coz ni lako, hata yeye anajisemea kakutana na kiba100🀣
Mkuu sorry to ask, sababu mimi ni mwanamke sielewi exactly maana ya bwawa… bwawa ninini? Ni K kubwa au yenye maji mengi? Na je hili si tatizo ambalo linaweza kuisha? Kama unauelewa nieleweshe.
 
Mke:
Nlitamani awe mzuri, mwenye hofu ya Mungu alielelewa akaleleka mwenye uwezo Mzur wa kulea watoto
Sifa ya ziada awe mwalimu

Mchepuko:
Awe na Tako
Awe na macho ya nyege
Awe anapenda kunyanduana 24/7/365
Awe available mda wote
Sasa hapa mke si anakuwa sawa na meza, viti, na vyombo vingine vya ndani, unakutana nae faragha lini?
 
Mkuu sorry to ask, sababu mimi ni mwanamke sielewi exactly maana ya bwawa… bwawa ninini? Ni K kubwa au yenye maji mengi? Na je hili si tatizo ambalo linaweza kuisha? Kama unauelewa nieleweshe.
Ni K kubwa yenye maji mengi. Lakini si unajua haya mambo hayana "constant" enh, kwa mwingine ni kubwa while kwa mwingine ni kawaida.
K kuwa kubwa au ndogo sio tatizo mkuu, hata hivyo ikiwa na maji mengi pia sio tatizo. Sababu kubwa ni kuwa wapo wanaopenda na wasiopenda pia.
 
Anhaa okay, hiyo K kwanini haiwezi kurudi na kufit maumbilie ya ME, nilisema mwanzo hili jambo halirekebishiki? As reference to: K ikiwa inaingiliwa na ME mmoja inafika kipindi inafit huyo ME tu…

Kuhusu maji mengi ndio sina hakika kama huwa yanaweza kupungua πŸ˜…

Anyways mada ya gizani hii 🀣
 
Awe kasoma hadi level ya degree, mweupe na cha muhimu zaidi "TAKOO"

Ndo namtafuta huku daresalama
 
Mambo ya gizani/faragha siku hizi tunaambiana wazi tu mkuu.
Kumbuka kuna watu naturally wana maumbile makubwa, both Me na Ke. Sasa imagine nina 5" yangu nikutane na mwanamke mwenye girth na depth ya kutosha na yupo hivyo naturally. Sidhani kama kuna namna yanaweza kurudi kufit.

Swala la mma pia ni debatable. Ila mwenye nayo azidi kuongezewa🀣🀣
 
Mke:
Nlitamani awe mzuri, mwenye hofu ya Mungu alielelewa akaleleka mwenye uwezo Mzur wa kulea watoto
Sifa ya ziada awe mwalimu

Mchepuko:
Awe na Tako
Awe na macho ya nyege
Awe anapenda kunyanduana 24/7/365
Awe available mda wote

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wangu nae anadeka balaa na kununa kutaka kubembelezwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wangu nae anadeka balaa na kununa kutaka kubembelezwa
Na visirani vingi 🀣🀣
Dawa ni kuzidisha mara mbili yake..!!
Mi kudeka kawaida yangu kwetu last born, sasa na yeye kwao kaka mkubwa anadeka vitu gani..?!
Yani anashindana na mi mtoto wa kike? Si ufala huo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na visirani vingi [emoji1787][emoji1787]
Dawa ni kuzidisha mara mbili yake..!!
Mi kudeka kawaida yangu kwetu last born, sasa na yeye kwao kaka mkubwa anadeka vitu gani..?!
Yani anashindana na mi mtoto wa kike? Si ufala huo [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwache adeke bana
Nahisi wanaume ambao mama zao hawapo ndio wanadeka sana wanakuwa wanaona wapenzi wao au wake zao ni kama mama zao
 
Na visirani vingi 🀣🀣
Dawa ni kuzidisha mara mbili yake..!!
Mi kudeka kawaida yangu kwetu last born, sasa na yeye kwao kaka mkubwa anadeka vitu gani..?!
Yani anashindana na mi mtoto wa kike? Si ufala huo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja siku akikutatua marinda ndo utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…