Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
- Thread starter
- #101
Kwahiyo Mkuu ulikuwana ndoto ya kuwa mdokozi?😂😂Nilitaka nije kua nachomoa vitu super market ila hizi cctv camera zikaua ndoto yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Mkuu ulikuwana ndoto ya kuwa mdokozi?😂😂Nilitaka nije kua nachomoa vitu super market ila hizi cctv camera zikaua ndoto yangu.
Kwahiyo ndio umeamua kujitoa ufahamu Mkuu? Sasa ukiota unakojoa ndio umetuambia uliwa unataka kuwa nani?Hakuna kitu kilikua kinanukwaza kama nikiota nakojoa, then nikiamka asubuhi nakuta nimelimwaga kweli....🤣
Sasa mawazo yalikua yananipata nikitoka nje nitaimbiwa ile kikojoozi...eehhh....
Ama hapa mnaseme ndoto zipi kwani mkuu...🤔🙄
KabisaUmekuwa mpiganaji kwa nyia nyingine, Ualimu sio poa mzee
Imetimia au gia ilibadilika angani?Nilikuwa natamani kuwa gynaecologist .
Kwahiyo ulitakuwa kuwa mla rushwa Mkuu? 😂 😂 Hongera kwa kubadili ndotoMe nlikua nataka kua traffic tu nipate zangu hela barabarani😂😂 physics na math zkabadili interest zangu mapema tu I'm taking engineering now
Mwalimu pekee anaepokea mshahara wa kueleweka😂Lecture si mwalimu tu
Na zaidi plus part time jobsMwalimu pekee anaepokea mshahara wa kueleweka😂
Me nlikua naona ile KAZI ya Hela chap chap😂😂😂saiv ngekua nakula Hela za walio bandika 3DKwahiyo ulitakuwa kuwa mla rushwa Mkuu? 😂 😂 Hongera kwa kubadili ndoto