Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

mamakibunju

alikuwa ana ana beauty parlor yake maeneo ya kinondoni manyanya pia akiita LAMIA'S SALOON...huyu mbishi wayback
 
Last edited by a moderator:
Muuza Sura

Ndio alikuwa nayo..! Kweli mbishi na mjeshi haswa!Sio hawa madada Du wa siku hzi, kila kitu wanahongwa..!


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
mamakibunju

tru dat!.....kuhongwa siyo kesi sana kwani hata linda naye anahongwa ila uzuri na ujanja wake ni jinsi anavyoisafisha ile hela aliyohongwa kuwa safi!ni kama wauza unga wengine walivyo smart kusafisha pesa zao kwa kufanya biashara zingine!.......siyo kama vicheche wengine ambao hao ndo wamejitoa mazima wanasubiri kuhongwa hata akili ya kufanya million izae jiwe hawana!
 
Last edited by a moderator:
Duh umenikumbusha anaitwa Rah P, dada alikuwa mkali huyo kwa sauti balaa na alikuwa na figure nzuri sana. Ila alijikuta akiangukia mikononi mwa Teja huko Marekani na akazalishwa watoto wawili kama sijakosea na kutelekezwa huko.
Mwaka juzi alitoa wimbo mmoja na Alpha yule mnyarwanda mwenzake unaitwa African Swagga, ilikuwa Bonge la wimbo!
 
Mwana Mpotevu
Ewaa MM ndio huyo huyo loo kumbe aliishia kwa teja,ama kweli maisha kizungumkuti,kuna wakati mimi naona game likiwa linakuendea vizuri hapa bongo ni aheri ubaki bongo ambapo umekuwa nyota tayari,Uropa au States sio mchezo kunataka uwe na moyo wa paka maisha si lelemama kama wengi wanavyo dhani.
 
Last edited by a moderator:
Sijaelewa...unamaanisha sisi akina thick legged ni mashangingi au?

Samahani kama nimekukwaza,nilikuwa sijui kama na wewe unamiguu ya kijapan. Lakini nyumbani kwetu wakikuona macho yanawatoka, utasikia, mtoto guu guu.
 
mfianchi

Teja siyo yeye mkuu ni hao mabwana zake wawili ambao ni mwisho na huyo mwingine waliyezaa naye marekani ambaye sa hivi inasemekana yule jela kwa mujibu wa Rah P mwenyewe


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kuwa na maneno si ajabu sababu wana damu ya Kizaramo hata Richard ni muongeaji sana
 

La kikaburu!
 
Last edited by a moderator:
Yeah kidg unaonekana unamjua! ki ukweli yu dada ni mpambanaji sana toka 1997 mpaka sasa yuko juu pia uzuri wake uko pale pale!! all the best Linda!!!
 

Mkuu@Matola umeua aisee
CC@Ben Saanane@Mungi@Dr Slaa@Mbowe@Tundu Lisu@Mtei
 
Aliingia Mkenge huyu Rah P akaishia mikononi mwa mwanaume Teja mwisho wa siku yule mwanaume akafungwa jela akamwacha yeye na mtoto akilea. Maisha ya kujilipua States na Ulaya magumu sana sijui wanakimbia nini raha zilizojaa hapa Tanzania wanakimbilia shida za majuu.
 

Kwa maana hiyo hawa akina Ben Saanane na Bavicha hawaijui Chadema in deep kiasi hicho bali ni kama watu walio - jump into a band wagon?
 

Asante sana mkuu kwa kunifungua macho kuhusu historia ya Chadema. Endelea kumalizia kuangalia House of Cards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…