Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh umenikumbusha anaitwa Rah P, dada alikuwa mkali huyo kwa sauti balaa na alikuwa na figure nzuri sana. Ila alijikuta akiangukia mikononi mwa Teja huko Marekani na akazalishwa watoto wawili kama sijakosea na kutelekezwa huko.Pia alikuwa na kaka yake mtangazaji na mwendesha mazoezi ya viungo zamani wakiishi wote mitaa ya Sinza karibu Bobs Motel sijui nae kapotelea wapi.Hizi ndio sampuli asilia ya kwa kagame,kuanzia madame Rita,Mama wawili , Linda na yule dada alikuwa rapper mzuri akaishia kwa Mwisho na kwenda zake kwa Obama
Sijaelewa...unamaanisha sisi akina thick legged ni mashangingi au?
Haki ya mungu tena naomba msaada kwenye tuta! Yaani kila nikijaribu kutamka hilo jina tangu enzi za Rich, nashindwa! Hivi ni Bezu...what? Anayeweza kuweka pronoanciation ya hilo jina?! Dinazarde, kweli ni binamy yako? Nisaidie basi hilo jina manake mnh!
Yeah kidg unaonekana unamjua! ki ukweli yu dada ni mpambanaji sana toka 1997 mpaka sasa yuko juu pia uzuri wake uko pale pale!! all the best Linda!!!Linda trans enzi hizo mitaa ya Sinza,huyu dada pesa kaishika tokea kitambo sana,nakumbuka ni mmoja ya watu wa kwanza kumiliki vile vigali vilivyokuwa vinafunguka milango kama milango ya ndege,hata Dewji wa Simba enzi hizo akiaminika kama mmoja wa matajiri naye alikuwa nacho,baadaye akawa na bonge la salon kule Kino akina papa Mopao K .Olomide alikuwa anaoshwa kucha huko,sijui bado yupo na yule houseboy wake (serengeti boyz)aliyemuoa na kuondoka naye,huyu dada haishi vioja,kuwa na kila kitu lakini BUSARA ndio kila kitu lasivyo pamoja na mafanikio utaonekana mtu wa hovyo,sijui kama kabadilika huko majuu
You nailed it, na Mzee Kimesera hakubaki nyuma na yeye ujana akachukuwa mtoto wa kitasha ndio wamemzaa Mali.
Hawa wapiga porojo wengi ni ule mkumbo wa Zitto na Dr Slaa kumbe hawajui kile chama kina madon wake, ndio kaana huyu dogo Zitto alipoleta ujuwaji simply aliambiwa chama hawezi kukabidhiwa mtu from no where.
Nota bene: Na kipindi hiko hata Freeman Mbowe alikuwa hana jeuri ya kukaa hiyo meza ya Madon yeye kazi yake ilikuwa ni kuandaa makabrasha na kuwa servant tu.
ukiweza kuyajuwa haya ( badly Chadema fuata mkumbo hawaelewi kitu) wala huwezi kupata shida kujuwa kwamba kuwa na vyeti vya vyuo vikuu wala si kuelimika, hapa ndipo utaona usomi wa Zitto na Kitila Mkumbo ni sifuri.
Aliingia Mkenge huyu Rah P akaishia mikononi mwa mwanaume Teja mwisho wa siku yule mwanaume akafungwa jela akamwacha yeye na mtoto akilea. Maisha ya kujilipua States na Ulaya magumu sana sijui wanakimbia nini raha zilizojaa hapa Tanzania wanakimbilia shida za majuu.Ewaa MM ndio huyo huyo loo kumbe aliishia kwa teja,ama kweli maisha kizungumkuti,kuna wakati mimi naona game likiwa linakuendea vizuri hapa bongo ni aheri ubaki bongo ambapo umekuwa nyota tayari,Uropa au States sio mchezo kunataka uwe na moyo wa paka maisha si lelemama kama wengi wanavyo dhani.
You nailed it, na Mzee Kimesera hakubaki nyuma na yeye ujana akachukuwa mtoto wa kitasha ndio wamemzaa Mali.
Hawa wapiga porojo wengi ni ule mkumbo wa Zitto na Dr Slaa kumbe hawajui kile chama kina madon wake, ndio kaana huyu dogo Zitto alipoleta ujuwaji simply aliambiwa chama hawezi kukabidhiwa mtu from no where.
Nota bene: Na kipindi hiko hata Freeman Mbowe alikuwa hana jeuri ya kukaa hiyo meza ya Madon yeye kazi yake ilikuwa ni kuandaa makabrasha na kuwa servant tu.
ukiweza kuyajuwa haya ( badly Chadema fuata mkumbo hawaelewi kitu) wala huwezi kupata shida kujuwa kwamba kuwa na vyeti vya vyuo vikuu wala si kuelimika, hapa ndipo utaona usomi wa Zitto na Kitila Mkumbo ni sifuri.
Kuna dada yao mmoja akiitwa Tas aliwapeleka resi sana mabrazameni wa Obay early nineties.
Ukizuka kwa mzee Kimesera nyuma kwa Mengi pale weekends enzi hizo huwakosi kina Mtei, Makani etc, watu tukafikiri wazee wanakumbushiana tu. Kumbe ndio walikuwa wanapanga mkakati wa kuanzisha CHADEMA.
Leo hii unakutana na watoto wanajifanya wanaijua sana CHADEMA hata ukiwauliza Kimesera nani hawamjui wala historia ya chama hawaijui.
I don't mean to derail, hilo jina la Kimesera limenikumbusha mbali sana Obay.