Owkay, nakuelewa nilimchanganya na Speroni, muargentina, yeye yupo Torinoyupo ligi ya Italy
Owkay, nakuelewa nilimchanganya na Speroni, muargentina, yeye yupo Torinoyupo ligi ya Italy
Alikuwa akipenda kutafuna bazoka huku nywele zake kazifunga nyuma kama mkia alikuwa na umbo la unyanda khaswa.Kuna mtu umemsahau, Bernard Lama...golikipa wa akiba.
Achana na hii kikosi
Rudia tena mkuuslim frank ribery kwa kikosi kile kocha angempanga dakika tano za mwisho saizi ufaransa wameishiwa mkuu
Giroud ameifikia rekodi ya Guivarch kwenye world cup 2018Guivarch Hapo Alipigwa Chini Akabebwa Nicolas Anelka. We Striker Hafungi Kama Beki. Yani Kwa Msiomjua Guivarch Ni Kama Giroud,Hata Giroud Afadhali Anafunga.
Wachambuzi wengi wa Soka huwa wanadai Euro 2000 ndio michuano bora kabisa kuwahi kufanyika.
Ufaransa walikuwa na bahati mkuu. Italy walitakiwa wabebe ndooYale mashindano yalikua yana ubora aisee, Portugal na Italy zilikua ni timu bora kabisa zikifuatiwa na Spain na Holland. hawa wafaransa nina wasiwasi walikua wachawi tu
Hata ile Ureno ya Captain Figo...Ufaransa walikuwa na bahati mkuu. Italy walitakiwa wabebe ndoo
Darasa la 7Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Pata picha jinsi Ufaransa hii ilivyosheheni katika michuano ya Euro 2000.
1.Barthez
2.Lilian Thuram
3.Bixente Lizarazu
4.Laurent Blanc
5.Marcel Desailly
6.Patrick Viera
7.Robert Pires
8.Youri Djokaeff
9.Thiery Henry
10.Zinedine Zidane
11.Sylvan Wiltord
Sub:
David Trezguet
Christoph Dugarry
Patrick Karembeu
Emmanuel Petit
Frank Libouf
Hapo captain Didier Deschamps alishastaafu.
Hakika sidhani kama Wafaransa watakuja kupata kikosi mahiri kama hiki, timu ilienea haswa! Hapo Fainali Italy anakufa kwa goli la dhahabu, Nyakati zimekwenda wapi? Ulikuwa wapi wakati kikosi hiki cha Les Bleus kikitikisa Ulaya na Dunia nzima?
Ufaransa walikuwa na bahati mkuu. Italy walitakiwa wabebe ndoo
France walikua wanacheza mpira wakubahitisha tu. Mechi ya final Totti na Albertini waliwanyanyasa mno uwanjani. huku Inzaghi na Zambrotta wakikosekana uwanjani.
Buffon hakuwepo alidaka Fransisco toldoMkuu acha utani, hao uliowataja hakuna hata mmoja aliyecheza Michuano ya Euro 2000. Buffon aliumia kidole akakosa michuano, hao wengineo hawakuwepo kwenye Euro 2000 achilia mbali hata mwaka 2006 wakati Italy ananyanyua ubingwa wa Dunia.
Ww hukuiona hiyo michuano umeanza kuijua Italy enzi za kina lucca Toni na Antonio cassanoBuffon,Barzagali,Georgie,marchisio,Montolivo,Lorenzo,hao ni baadhi
Abel alifanya niniNlikua form 2 those days,Sebule nzima kuanzia dingi mpaka madogo walikua washabiki wa Italy...mi peke yangu shabiki wa Ufaransa..hadi dk ya 90 nimejikunyata km mtoto yatima...wiltod akatutoa kimasomaso
Duu totti alikuwa man of the matchMkuu hapa umesahau Kidogo! Katika Mechi Hii Kipa Hakuwa Chrisrian Abbiati!!! Bali Alikuwa ni Francesco Toldo ambaye walimuumiza mpaka akawa anacheza Game hii akiwa anatoka Damu za Pua huku akiwakatili France Michomo Mikali Waliyokua Wakimpigia...
List Ya Italy ilikua Kama ifuatavyo:-
Francesco Toldo (GK)
Paolo Maldini (C)
Demetrio Albertini
Fabio Cannavaro
Gianluca Pessotto
Alessandro Nesta
Luigi Di Biagio
Mark Iuliano
Stefano Fiore
Francesco Totti (Man of The Match)