Ulikuwa wapi wakati Ufaransa hii inaitoa nishai Italy Euro 2000

Ulikuwa wapi wakati Ufaransa hii inaitoa nishai Italy Euro 2000

Hawana mpango wowote, Walikaa nyuma mechi nzima wakivizia tu. Bahati ina nafasi yake kwenye michezo.
 
Wachambuzi wengi wa Soka huwa wanadai Euro 2000 ndio michuano bora kabisa kuwahi kufanyika.

Yale mashindano yalikua yana ubora aisee, Portugal na Italy zilikua ni timu bora kabisa zikifuatiwa na Spain na Holland. hawa wafaransa nina wasiwasi walikua wachawi tu
 
Kilikuwa fomu fooo
Daah my best player was Delpieroo
Mzee wa dakika million
 
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Pata picha jinsi Ufaransa hii ilivyosheheni katika michuano ya Euro 2000.
1.Barthez
2.Lilian Thuram
3.Bixente Lizarazu
4.Laurent Blanc
5.Marcel Desailly
6.Patrick Viera
7.Robert Pires
8.Youri Djokaeff
9.Thiery Henry
10.Zinedine Zidane
11.Sylvan Wiltord

Sub:
David Trezguet
Christoph Dugarry
Patrick Karembeu
Emmanuel Petit
Frank Libouf

Hapo captain Didier Deschamps alishastaafu.

Hakika sidhani kama Wafaransa watakuja kupata kikosi mahiri kama hiki, timu ilienea haswa! Hapo Fainali Italy anakufa kwa goli la dhahabu, Nyakati zimekwenda wapi? Ulikuwa wapi wakati kikosi hiki cha Les Bleus kikitikisa Ulaya na Dunia nzima?
Darasa la 7
 
France walikua wanacheza mpira wakubahitisha tu. Mechi ya final Totti na Albertini waliwanyanyasa mno uwanjani. huku Inzaghi na Zambrotta wakikosekana uwanjani.

Yaah naunga mkono hoja. Wakati mwingine katika soka unahitaji zaidi bahati
 
Nilikua nna miaka9 wakati wa hii game na nliangalia kwenye tv ya black&white
Ni kweli ufaransa walishinda kwa bahati tu ila walizidiwa sana
 
Mkuu acha utani, hao uliowataja hakuna hata mmoja aliyecheza Michuano ya Euro 2000. Buffon aliumia kidole akakosa michuano, hao wengineo hawakuwepo kwenye Euro 2000 achilia mbali hata mwaka 2006 wakati Italy ananyanyua ubingwa wa Dunia.
Buffon hakuwepo alidaka Fransisco toldo
 
Nlikua form 2 those days,Sebule nzima kuanzia dingi mpaka madogo walikua washabiki wa Italy...mi peke yangu shabiki wa Ufaransa..hadi dk ya 90 nimejikunyata km mtoto yatima...wiltod akatutoa kimasomaso
Abel alifanya nini
 
Mkuu hapa umesahau Kidogo! Katika Mechi Hii Kipa Hakuwa Chrisrian Abbiati!!! Bali Alikuwa ni Francesco Toldo ambaye walimuumiza mpaka akawa anacheza Game hii akiwa anatoka Damu za Pua huku akiwakatili France Michomo Mikali Waliyokua Wakimpigia...

List Ya Italy ilikua Kama ifuatavyo:-

Francesco Toldo (GK)

Paolo Maldini (C)

Demetrio Albertini

Fabio Cannavaro

Gianluca Pessotto

Alessandro Nesta

Luigi Di Biagio

Mark Iuliano

Stefano Fiore

Francesco Totti (Man of The Match)
Duu totti alikuwa man of the match
 
Back
Top Bottom