[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sanaaaHahahahahaha hahahaha, aiseeeee jamii forum raha bwana asikwambie mtu
Muulize ule mguno wake sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumiss ebu nipe mguno wako kuna mtu tunabishana sana yaani mpaka tumewekeana dau la zawadi
Hahahah wamemalizaHahaha
Kwani wamemaliza kudukua
Naguna tunini?lol
Mfyuuuuuuu zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaa...hadithia ndoto hiyoHadi nimemuota bujibuji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah!! Hahah ndugu yangu unanichomea utambi sasa, sema mchumba mwenyewe anajua kua nipo fasta sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuhusu mguno wako kila mtu anauandika anavyojua ebu andika hapa jamani tuone ni sawa
Hadi nimemuota bujibuji
Naguna tu
Najua mchumba jamani sasa mbona upo busy jf toka basi utaunguzaHujui kua napika?
Mngh!
Fatilia mguno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama nakuona
Sidhani kama wamemalizaHahahah wamemaliza
Wanakujaa mkuu..andaa nguo kabisa wanaleta povu la kutoshamie mpaka leo nadhani ni MACCM hayo yako responsible na kufungwa kwa mtandao wetu,maana habari za Mange zilikua live humu
Ni ule ule ulisema [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Muulize ule mguno wake sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilijuta kwanini sijatoa namba yangu at least niendelee kutongozw
Hahaaaaa. Lol.Mie kama nilifahamu hii kitu itatokea maana nyuzi za maandamano zilizidi humu. Ilipogoma kuchek page yao ya insta nikakuta maelezo ya tatizo.
Nilimiss likesss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wozeeeer kapatia jamani kumbe ni sawa ni hivyo
Mwenyewe!Mfyuuuuuuu zako