harzad kafichua bomuHahaaaa. Hata hakuna mdogo wangu.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji28][emoji23]Salama jamani yaan jana kwenye acc ya jf insta nimekuta members wa jf wanalalamika yaani nilitamani tu kuwajua jamani
Haha ila wanamuogopa,sasa washajua unazo wanakujaahahahha kumbe wahenga wanaotaka namb za hajar
hahahaNiwe mkweli na sihitaji mtu aniamini mimi nilifanya kolabo na tunguli kwahiyo nikawa online muda wote... Shida ni kwamba sikuwa na wakuchat naye.. Hivyo nikawa navinjari tu majukwaa yasiyo na watu kama wale manjagu leo mitaani
Sana sanaa...halafu ni mambo ambayo yako planned kabisaAcha kabisa chief....nilikua naangalia game ya UEFA alafu natamani kuingia humu kusoma comments nakuta naambiwa sijui makorokocho gani aaah!
Wametujeruhi mioyo kwakweli.
Nilikumis pia..hasa likes zakoYani kweli walioshambulia JF wameweza kushambulia na mioyo yetu[emoji20]
NiliwaMiss wanaJF
Au unataka masharobaro wa mjini.... [emoji4] [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahha zangu haziwezi kutoka Hajar anajuaMkuu hata zako pia kuna wanaotaka hahahahahahaha nakutania mkuu
[emoji23][emoji23] nenda kabahatisheHahahaha kumbe ulikuwepo mkuu kule, nilicheka kichizi yani ngoja niende kule nikafananishe mwandiko wako naweza kukuona
Hahaaaaa. Ila jf kiboko mdogo wangu.hahaha nilitia huruma haswaa tena
Kuna wasiosali walisali jana
Sio kwa kuhangaika huko utafikiri umepoteza funguo za nyumba ndani ya simu unavyozitafuta hahahaha
Kila sekunde unachungulia utafikiri umeahidiwa unatumiwa hela halafu unashida kinoma hahaha
Hao tena ndo hatutawezana kabisaAu unataka masharobaro wa mjini.... [emoji4] [emoji4]
Pole kwa mfadhaiko yna4,Nilikumis pia..hasa likes zako
hahahha zangu haziwezi kutoka Hajar anajua
[emoji23][emoji23] nenda kabahatishe
Hujanunua kyupi kipya nioneNimenunu gauni na viatu on line. Si kwa kuboreka kule
Haha..kwema lakini?Pole kwa mfadhaiko yna4,
Nilimiss pia ID yako....maana inavutia tu kuitamka hahaha, very simple[emoji4]
Bhasi nakuombea upate anaejielewa kidogo itapendeza....Hao tena ndo hatutawezana kabisa