Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Hahahaa, pole sana Hajar nimejikuta nimecheka kwa sauti kwa kusoma jinsi ulivyo hangaika, ama kweli ukitaka kujua thamani ya kitu kikutoke kwanza, kwakweli kila mtu alitaharuki kwa style yake kutokana na shambulio la forum hii pendwa, lakini tunashukuru imekaa sawa kwa haraka
 
Duuh! Hongera zako mdogo wangu. Mie nkajua ulikuwa mwendo wa kujaribu jaribu tu mpaka muda ule. Hahaaaa.
Ilipokataa kuanzia saa kumi hadi saa 12 jioni nikaachana nayo, nilikula Dinner mapema nikashiba sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , kuanzia shiba na uchovu wa kutwa nzima kwa Jamhuri nikajikuta niko hoi, nikaamua kulala ili nijiweke kwenye msawazo.

Bahati nzuri nilishtuka majira ya mid night ndio nikakuta imerejea kidogo na mimi nikaingia japo kwa mbinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…