Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ila kanichekesha ukhuty kaja kwa upole ananiuliza taratibuu eti "dada umeingia jf leo" nikacheka sana yaani.
Hahahahahaaaa.

Mimi kaja kashusha malalamiko mengi kwa huzuni sana.

Nikamwambia na mimi hali iko hivyo hivyo toka jana.

Nikamwambia nimesikia kuna tatizo na linafanyiwa kazi, hapo ndio presha ikashuka
 
Hahahaaaa. Wacha kabisa halafu kuna mtu anajijua [emoji85] nilikuwa nataka kuongea nae kitu saa kumi ndio nkazidi kupagawa Hajar mie.

Ila bora imerudi hewani sababu ilikuwa balaa.
 
Hahaaa. Davet njoo huku naona bila hiyo kushiba sana [emoji23] [emoji23] usingizi ungekuwa ndoto.

Hongeta kwa kweli mdogo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…