Sidhani kama kunamtu anapenda kuharibiwa ugali wake. Jamaa walisha jua wakiiacha JF wazi lazima wangefungiwa. Saaa walichofanya ni kuibana kidogo ili siku ipite.Hawa walijishambulia wenyewe!
msalimie shemej dadaNaenda kulala ndugu zanguni. Muwe na mkesha mwema sababu nyie ndio kwanza kumekucha. [emoji12]
Allah azidi kuwasimamia kila uchwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaa.
Hadi aliniambia nimshtue ikirejea ila nimechelewa kuangalia kama imerejea
Ni Bora wangepotea hewani halafu wakarudi wamerekebisha mapungufu ya app yao. Wamerudi vile vile hakuna jipya!Wengi wanasema hvyo
Yes sababu kubwa ni hiyoSidhani kama kunamtu anapenda kuharibiwa ugali wake. Jamaa walisha jua wakiiacha JF wazi lazima wangefungiwa. Saaa walichofanya ni kuibana kidogo ili siku ipite.
Nakweli imepita na tumeanza upya
nakujibu babuHaya fanya haraka kabla sijabadili mawazo...
Kweli mkuu wanamapungufu makubwa mnooNi Bora wangepotea hewani halafu wakarudi wamerekebisha mapungufu ya app yao. Wamerudi vile vile hakuna jipya!
Una hasira za Jana ee
Niko poa wangu cjui wewNalipiza kisasi eeeeh hahahaha, upo poa lakini
Ila Jana walituweza kwakweli daah
Niko poa wangu cjui wew
Usijari mkuu tupo pamoja
Hahaha hata usiniwaze nipo hapa mwenyew nilikumisFresh kabisa yani, nilikuwa nakuwaza ujue saa hiz nimeridhika kuona uwepo wako