Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Salama jamani yaan jana kwenye acc ya jf insta nimekuta members wa jf wanalalamika yaani nilitamani tu kuwajua jamani
Hata mie nlikuwa nawanyapianyapia,kuna kamoja kazurizuri hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…