Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Nikajua ndio basi tena, lakini hivi tatizo lilikuwa nini hasa?
 

Hahahahahaha hahahaha, aiseeeee jamii forum raha bwana asikwambie mtu
 
Walifikiri wametuweza kumbe wamejiweza sababu wangeacha JF open wangekamata wengi. Wengine hapa ndo kimbilio letu wanafikiri kila mtu ni mwanasiasa hawajui wengine tunaingia kuongea na wapendwa wetu sababu ya kuwa mbali na upweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…