Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #401
HapinduiUtaunguza bana huku urudi badae ukimaliza kupika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapinduiUtaunguza bana huku urudi badae ukimaliza kupika
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] halafu leo nikuhogoa yaan ungekuwa unakunywaga pombe ningesema unaenda kuninywea unipe la moyoniHahaha
We si utaonaa
Nawazoom tu mmUpooooh!!
[emoji122][emoji122][emoji122]JF si Salama tena.....
Tuko pamoja ndugu yangusawa ngoj tuzubaezubae humu ndan kidog
Ebu kuja hapa au wewe ndio tulikuwa tunachat DM[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji28][emoji23]
Hapo wewe tuHahhahah sijui zawadi gani nitaambiwa
SawaaaaUtaunguza bana huku urudi badae ukimaliza kupika
haahha ngoja nimwambie shemej kwanza
[emoji3][emoji3][emoji3] nitatoa jamani mm sijabisha zawadi ni chochote tuAhadi ni deni, toa zawad ya watu hahahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hazard ebu acha uchochezi wako nacheka sanaHapindui
aisee nilikosa raha kabisaaaa eti nikaanza kumuuliza Smart911 love hauna tunamba twa huyu yule yule kule na naniliuu nianze kuchat nao??? you know humu Kuna members wanaifanya siku yako kila mmoja kidizain yake ilimradi unajikuta unaburudika tu na roho yako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] halafu leo nikuhogoa yaan ungekuwa unakunywaga pombe ningesema unaenda kuninywea unipe la moyoni
kwema, habari yako!Haha..kwema lakini?
Ila nilijua tuu kuna shambulio kwa hii forum yetu,
Hata wakati wa uchaguzi baada ya kupiga kura tunasubiri matokeo ya hapa na pale lilitokea tena shambulio