Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Nimejifunza kuwa, wenye nchi yao wanaijua nguvu ya jf. Pia wanaifuatilia kwa ukaribu zaidi.
 
Ila nilijua tuu kuna shambulio kwa hii forum yetu,
Hata wakati wa uchaguzi baada ya kupiga kura tunasubiri matokeo ya hapa na pale lilitokea tena shambulio
 
aisee nilikosa raha kabisaaaa eti nikaanza kumuuliza Smart911 love hauna tunamba twa huyu yule yule kule na naniliuu nianze kuchat nao??? you know humu Kuna members wanaifanya siku yako kila mmoja kidizain yake ilimradi unajikuta unaburudika tu na roho yako
 
Kabisa yani, ukimkosa mtu roho yako inakwazika kabisaaa
 
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] halafu leo nikuhogoa yaan ungekuwa unakunywaga pombe ningesema unaenda kuninywea unipe la moyoni
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom