Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hata usiniwaze nipo hapa mwenyew nilikumis
[emoji106]One loveeeee Maliyamtu
Ni mimi.Niliona kuna mmoja anaitwa kijiwe ushenzy jamani anawatukanaga mashoga insta natamani tu ningemjua kwa I'd yake ya humu yaani alisema ametumiss sana
Mh mbona yule ni mwanamkeNi mimi.
Hahaha huyo leo yupo bize nakumpa makubwa wema huko insta[emoji23] [emoji23]Mama Sabrina upo wap??? Au upo kwa da mange??? Hahahaha
Hahaha huyo leo yupo bize nakumpa makubwa wema huko insta[emoji23] [emoji23]
Na mimi nilikuwepo huko ahahahahaahhaKuna mmoja anaitwa Putin watu wakaanza kumshuku kuwa Ni putini wa huku nimechoka sana jana hahahahahaha
MmhNa mimi nilikuwepo huko ahahahahaahha
Wew unakosa je kule?Na mimi nilikuwepo huko ahahahahaahha
Sema neno[emoji20][emoji20][emoji20]
Na mimi nilikuwepo huko ahahahahaahha
Shukrani sana.Wakuu poleni sana kwa usumbufu.. Hakika mengi yalikosekana. Tutajitahidi kuwa bora na imara zaidi. Tumejifunza!
Tushapoa kiongozi kazi nzuri sana...wengi wetu wanaamini mlijiteka,wewe unazungumzia je swala hilo?Wakuu poleni sana kwa usumbufu.. Hakika mengi yalikosekana. Tutajitahidi kuwa bora na imara zaidi. Tumejifunza!
Wakuu poleni sana kwa usumbufu.. Hakika mengi yalikosekana. Tutajitahidi kuwa bora na imara zaidi. Tumejifunza!