joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #81
Kuna uwezekano Uganda wakaomba tuwapelekee SGR hadi Kampala, ni chini ya 200Km kutokea Rusumo, mpaka wa Tanzania na Rwanda, wakiomba tutawajengea. Hahahahaha, Hahahahaha,.Vipi...mmeshapata mgao wa hela kutoka kw waume zenu mabeberu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa mujibu wa bajeti ya Tzn 12 trion shs ndizo zitakopwa na misaada ya wahisani,trion 8 ni from other sources of revenues from ministries,districts,utalii,madini charges etc so hoja hapa ni je 12 trion ni deficit kiasi gani?20 trillion mtatoa wapi.. 20 trillion ni almost 1 trillion Kes.. Yani budget yenu ni ndogo but deficit ni kubwa kushinda kenya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm katika ubora wao...always out of topic...Kuna uwezekano Uganda wakaomba tuwapelekee SGR hadi Kampala, ni chini ya 200Km kutokea Rusumo, mpaka wa Tanzania na Rwanda, wakiomba tutawajengea. Hahahahaha, Hahahahaha,.
Kenya mkiomba chakula tutawapa, bure kabisa, Hahahahaha, Hahahahaha
Tsh20 trillion mtatoa wapi...jiulize hilo swali kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani zaidi ya nusu ya bajeti unangojea mgao wa hela kutoka kw waume zenu...ldc ni ldc kwelKwa mujibu wa bajeti ya Tzn 12 trion shs ndizo zitakopwa na misaada ya wahisani,trion 8 ni from other sources of revenues from ministries,districts,utalii,madini charges etc so hoja hapa ni je 12 trion ni deficit kiasi gani?
Dar to rusumo...bwahahaaaa!!Kuna uwezekano Uganda wakaomba tuwapelekee SGR hadi Kampala, ni chini ya 200Km kutokea Rusumo, mpaka wa Tanzania na Rwanda, wakiomba tutawajengea. Hahahahaha, Hahahahaha,.
Kenya mkiomba chakula tutawapa, bure kabisa, Hahahahaha, Hahahahaha
It will be 50% cheaper than Mombasa route, the train will be 20% faster than Kenyan route. Kwahiyo njia ya Dar itakuwa "cheaper and faster, hivyo ndivyo vitu vinavyohitajika katika biashara. Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.Dar to rusumo...bwahahaaaa!!
Cheki hyo distance kwanza...alafu unambie km mfanyibiashara gani mwenye akili timamu atatumia port ya dar...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1128052View attachment 1128054
It will be cheaper...bwahahaa....wacha cheaper..hta kw bure hawaezi...bwahahaaaIt will be 50% cheaper than Mombasa route, the train will be 20% faster than Kenyan route. Kwahiyo njia ya Dar itakuwa "cheaper and faster, hivyo ndivyo vitu vinavyohitajika katika biashara. Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
$3.6 billion ya SGR ndiyo mradi mkubwa kuwahi kutokea Kenya... 🤣 sisi bwawa tuu ni $3.9 billion, SGR wala hatuizungumzii.Someone finances his budgets with his own money while the other depends on grands and donations. What a shame!
Hilo bwawa liko wapi$3.6 billion ya SGR ndiyo mradi mkubwa kuwahi kutokea Kenya... [emoji1787] sisi bwawa tuu ni $3.9 billion, SGR wala hatuizungumzii.
Wameanza kujenga June 2019.Hilo bwawa liko wapi
Ushahidi please...Wameanza kujenga June 2019.
Ushahidi please...
Si strugle george kumbe
It will be cheaper...bwahahaa....wacha cheaper..hta kw bure hawaezi...bwahahaaa
Sasa kwani Magu ana muda gani tangu aingie madarakani, na hiyo miradi kawaida inajengwa ndani ya miaka mingapi?. Ila ile ya muda mfupi umeshaanza kazi, kama ununuzi wa ndege na ufufuaji wa route ya Dar to Kampala.Manake miradi yote ya magu bado iko under construction tu
Weeee..koma...dhamira ya ndege sio kuoiga boda bod..ni kupaa overseasSasa kwani Magu ana muda gani tangu aingie madarakani, na hiyo miradi kawaida inajengwa ndani ya miaka mingapi?. Ila ile ya muda mfupi umeshaanza kazi, kama ununuzi wa ndege na ufufuaji wa route ya Dar to Kampala.
Unaumwa na mavi wewe, hujui lolote unalozungumza kazi yako kupiga kelele tu, angalio KILIMO kilivyodharauliwa kwa kyoewa pesa kidogo wakati tayari Kenya imeshakumbwa na njaa, wakenya wanalalamika kutokana na pesa kidogo iliyopelekwa ktk kilimo eti wewe unapayuka hovyo, rudi ktk forum za udaku, huku sio mahali pakoEvidence Kenya sio failed state angalia budget yao imejikita zaidi kwenye kilimo elimu na afya ndio vipa umbels vyao sisi huku ni miundombinu tu , kwahiyo wao wanapata huduma nzuri za vigezo hivyo. Watanzania tukipata ukame mwaka mmoja tu, kama wakenya hata kuandika humu JF hatuwezi. Kennya wana mapungufu yao ya ukabila lakini ni failed state,, I beg to difer.. Uvumilvu Wa Kenytta matokeo yalipofutwa ni kigezo cha serikali inayojiamini, sisi hats kupinga matokeo tu mahakamani ni maruku. Tujifariji tupendavyo iila Kenya wako juu yetu kwa vigezo vyote. Anayebisha alete ushahidi sio povu LA semi literate mkadhani matusi kuzuia Mawazo huru ndio ushindi Wa hoja, siyo.