Ulimbukeni wa wakenya wa kupanga Budget kubwa wakati hela hawana.

Tuta, tuna...ndo wimbo wenu
Btw how much have you budgeted for your electric train this financial year?
 
Huo ndo ushahidi uliompa
 
Tuta, tuna...ndo wimbo wenu
Btw how much have you budgeted for your electric train this financial year?
Andaa passport, November uvuke mpaka uje usafiri kwa kutumia "the first bullet train in Africa". Vipi ninyi, ndio mumeshindwa kumalizia lile reli lenu la kuzamani mumelitelekeza pale porini?
 
Kenya is a failed state according to international criteria, sio according to you or me.
 
The International Monetary Fund and World Bank plus UNDP all rank Tanzania an LDC country .Hii Kenya imewashinda mbali in military budget,national budget ,life expectancy ,Human Development Index na zinginezo.
Hahahahaha, hivyo vyote sio criteria ya kuwa failed state, soma vizuri hii link iliyoonyesha Kenya ni failed state ndio utajua vigezo vilivyotumika. Huna sababu ya kulia, mbona sisi hatukatai kwamba ni LDC. Kenya ni failed state, na Tanzania ni LDC, Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha
 
Duh!!km umekubali nyinyi ni ldc....basi hapa jf unapiga kelele ya nn...jinga ni jinga tu yani...

Yani uko hapa kubishana na middle income...hata nyani hawezi compare ldc na middle income...

Najua hii comment itakuuma...sasa mwaga povu
 
Niko hapa kuwaonyesha kwamba ninyi ni failed state, hampaswi kujibizana na sisi, ninyi kundi lenu ni Somalia, Yemen, Afghanistan, South Sudan, na Africa ya kati.
 
Niko hapa kuwaonyesha kwamba ninyi ni failed state, hampaswi kujibizana na sisi, ninyi kundi lenu ni Somalia, Yemen, Afghanistan, South Sudan, na Africa ya kati.
Hao wote uliowataja ni ndugu zenu wa ldc...santa sana kw kuwatambua nduguzo
 
Hao wote uliowataja ni ndugu zenu wa ldc...santa sana kw kuwatambua nduguzo
LdC ni kundi la nchi nyingi sana duniani, lakini failed states zipo 9 tu dunia nzima. Kumbuka kigezo cha kuwa LDC ni kimoja tu, kutifikia kiwango cha pesa, lakini failed state ni kutofikia vigezo vingi sana vya maisha. Security, corruption, inequality, healthcare, unemployment, peace, na vinginevyo vingi tu, ndio sababu zipo nchi tisa duniani kote. Mumeshindwa hata na Burundi haimo. Hahahahaha, hahahahaha.
 
Naona umemtaja ndugu yako mwngine...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ldc..
 
Naona umemtaja ndugu yako mwngine...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ldc..
Wewe ndugu zako ni, Somalia, Yemen, South Sudan, Afghanistan, Central Africa Republic, Syria, Kenya, na Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
 
Wewe ndugu zako ni, Somalia, Yemen, South Sudan, Afghanistan, Central Africa Republic, Syria, Kenya, na Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
Hawa si umeshawataja tayari bro...au nikuletee wengine...hhhh[emoji1784][emoji1784][emoji1784]
 
Wanaotengeneza takwimu za uongo ni Kenya kwa kuwa takwimu zao haziakisi uchumi wa wakenya (Kibera, dondora).
Failed state ni nchi isiyo tawalika, huko Turkana raia wanatembea na AKs kama hawana akili nzuri na serikali haina hata habari na yanayoendelea huko. Nchi nyingine yenye mambo kama hayo ni Somalia.
Kama bajeti inajikita kwenye kilimo mbona kila mwaka watu wanakufa kwa njaa? Kuhusu huduma za afya ndo wala usiseme, wakenya wengi huja Tanzania kutibiwa kansa. Wakati wao wanaagiza madaktari toka Cuba, sisi tunagundua aina mpya ya kutambua vijidudu vya TB kwa kutumia panya ambao wamefundishwa kutambua kama kohozi lina bakteria wa TB au la. Tena panya hao wanauwezo wa kutambua haraka na kwa usahihi kuliko kufanya X-ray scan.
 
[/QUOTE]
What can a poor man from a poor country tell Kenya?. A country that can't even finance its budget but only depends on grands from other country. A country that Kenya gives a donation of ksh 100m. A country that is professional in being lazy and killing albinos and a sorcery level next to none.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…