thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Kuna kitu kinaitwa "government acounting" kinafundishwa darasani. Mtu aliye soma hiko kitu akiona hilo swali lako lazima akucheke.Joto la jiwe....TRA ina collwct tsh13 trillion na budget yenu ni tsh33 trillion...duh!!!watu wa pesa za ndani ni noma lwel