Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Kakustukiza alafu kakupiga na butwaaHatuwezi kuachana leo
Umenishtukiza
Ungenipanga mapema tungayamaliza
Huo ushamba unaoleta nitakuumiza
Asante kwa yote,kila la kheri"Naona tunapotezeana muda tuachane tu. Mimi nimepata mtu mwingine nakutakia kila la kheri"
Jibu kama mtu ambae ameshamove on.........................
Mkuu lile pambano la sokwe nani alishinda?I mean no malice to nobody
Duhh....😳😳"Wee haachiki mtu hapa, kama upendo wako umeisha tutatumia wangu, relax mama, hebu shika hii kale chips kuku na pepsi bariiiiidi, utulize nafsi, love you"