Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,754
- 5,184
Kila la heri pia"Naona tunapotezeana muda tuachane tu. Mimi nimepata mtu mwingine nakutakia kila la kheri"
Jibu kama mtu ambae ameshamove on.........................
Kila la heri pia"Naona tunapotezeana muda tuachane tu. Mimi nimepata mtu mwingine nakutakia kila la kheri"
Jibu kama mtu ambae ameshamove on.........................
Kimya kimya yani 😃😃Huo muda WA kuagana mnatoa wapi.sisi wala kila mtu anajikuta Tu yupo na maisha yake
I mean no malice to nobodyMkuu lile pambano la sokwe nani alishinda?
Duh!...atakutesa mno kwa hali hii.."Wee haachiki mtu hapa, kama upendo wako umeisha tutatumia wangu, relax mama, hebu shika hii kale chips kuku na pepsi bariiiiidi, utulize nafsi, love you"
Mbona umeshtuka sana? kwemaa!?Duhh....😳😳
Ni jokes tuDuh!...atakutesa mno kwa hali hii..
Kawaida tu mkali wangu...🤣Mbona umeshtuka sana? kwemaa!?
Duuh""""Bado nakupenda..
Nisamehe my love
Mimi hila wewe si chochote si lolote
Kwanjni ufanye hvi..
Mi kwa sababu yako nalia.. fanya unisamehe dear..
Nakupenda sana..
Mi najua unatania aiseee siachiki mimi..
Kama umepoteza mda wewe mi bado sijakupoteza 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏""""
Unaweza...
"Nani mwenzangu..?""Naona tunapotezeana muda tuachane tu. Mimi nimepata mtu mwingine nakutakia kila la kheri"
Jibu kama mtu ambae ameshamove on.........................
Ndiwo naweza. Try me uone!Unaweza...
Wakati vitisho vinaanza kwamba utaona hutakaa ukae kwa amani...
Ngoja tuone tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Ndiwo naweza. Try me uone!
Utasikia tu" Naona mambo yangu umeniachia mwenyewe"...
Try me.Ngoja tuone tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...