Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Sawa ngoja tuone...Try me.
Sawa ngoja tuone...Try me.
...nashukuru muheshimiwa kikojozi..."Naona tunapotezeana muda tuachane tu. Mimi nimepata mtu mwingine nakutakia kila la kheri"
Jibu kama mtu ambae ameshamove on.........................
Nasubiria Nimekaa paleeee kwahamuSawa ngoja tuone...
Njoo nikukaze kwanza alafu tuachane...Nasubiria Nimekaa paleeee kwahamu
😁😁😁😁😁😁Njoo nikukaze kwanza alafu tuachane...
Maana umesema umekaa pake kwahamu...
hiyo yote ya nini? jibu ni moja tu OKAY.Maneno yasiwe mengi ntamjibu "hongera, nakutakia maisha mema huko uendako"
Umeua😁😁hiyo yote ya nini? jibu ni moja tu OKAY.
😂Fear women, mwanamke anaweza fanya mrudiane ili yeye ndo akuache