Ulimpa jibu gani alivyokuambia muachane?

Yani hadi anakwambia amepata mtu mwingine unataka nini hapo?

Mkaa unaendelea kuchomwa kila siku porini huko.
 
Nililia pale Kariakoo halafu kesho yake nikajiona mjinga. Tukakutana Sinza nikaanza kulia tena.

Nikaconclude tu huyu ni mjanja wangu nifanye tu kuomba msamaha kadri ninavyoweza
 
Niliruka ruka kwa furaha na kufanya karamu kubwa maana duniani sipendi usumbufu napenda sana kuwa huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…