Ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na umri gani?

Ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na umri gani?

U
Inakuwaje wanaJamiiForums

Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.

Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au kwa makusudio. Je, uliwahi au ulichelewa?

Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata ukiwa na umri gani?
Unatuuliza ili iweje wakati wewe hutaki kutuambia?
 
Aisee umenikumbusha mbali kidogo miaka ileee..nikiwa std seven ..siku ya graduation si tukapewa time ya kucheza disco vumbi na maticha...ilipofika saa moja disco likasitishwa ikabidi turudi home...alooo! Njiani tukawa na ratifa ambae ni graduate mwenzangu...acha aanze kunishikashika kitoto...mara anuguse guse na vichuchu vyake mchomozo aloooo!...ghafla mnara ukasoma 5g mara paaaaaa tunajikuta ndani ya pagale tukavunja amri ya Saba!...alooo kumbe tayari mimba...nakuja kuingia form one July tayari naitwa baba.. Nilisherekea my 15th birthday nikiwa naitwa Father...Alooooo....Leo tukitangulizana na Binti angu utafikiri mdogo wangu hatari yan
Pongezi Mkuu
 
Back
Top Bottom