Ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na umri gani?

Ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na umri gani?

Nilimpata first born nikiwa na 26 a year after my marriage aisee kuwa na mtoto udogoni raha sana maana unakua nae saizi wakisimama na mshua wake utasema kaka na mdogo.
 
Sina mtoto na wala sitegemei

Nakaa kwetu na nina miaka 52, wala sitegemei kuhama labda baba ndio ahame aende kwao

Nihame kwenda wapi akati hapa ndio kwetu ?
 
Back
Top Bottom