Ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na umri gani?

U
Unatuuliza ili iweje wakati wewe hutaki kutuambia?
 
Pongezi Mkuu
 
Mhmm!! Thubutuuu!! Wapare walivyo wachoyo na roho za kwann!! Mfano mzuri dada wa taifa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yule dada ameharibikiwa na uzungu
🀣🀣🀣🀣 Km huna pesa lazima wakuone babu yao.
Watoto siku zote wanajua wazazi wao wana pesa, ila ww ndio unajua vile niko hoi πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…