Ulimpendea sura, shepu au tabia? Tuambie Kigezo cha kumchagua mpenzi wako uliyenaye 2025 kilikuwa nini?

Ulimpendea sura, shepu au tabia? Tuambie Kigezo cha kumchagua mpenzi wako uliyenaye 2025 kilikuwa nini?

Yeye ndo alianza kunipenda,me sikuaga na time na warembo.ila mara nyingi huwa ananiambia alinipenda coz nilikua ni wale bad boys and hard cores wa darasa letu na nzuri zaidi nilikua kipanga flani hivi kwenye lile darasa letu.
 
Kwa kweli inashangaza, unakuta mwanamke sura ngumu kama ya Diamond enzi ana njaa, eti anakuringia kisa ana tako, mimi uwa naangalia sura ya demu na overall appearance yake, tako hilo nawaachia wafiraji, sina muda nalo.
Tako muhimu mkuuu
 
Back
Top Bottom